Zungu akutana na Spika Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco jijini Rabat
JamhuriComments Off on Zungu akutana na Spika Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco jijini Rabat
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongozana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami katika kikao kilichofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini MoroccoNaibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiagana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.