Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
JamhuriComments Off on Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa kwenye kampeni ya kuwanadi wagombea wa chama chake wa serikali za mitaa katika kijiji cha Lugoma, kata Buhoro ya jimbo la Kasulu vijijini mkoani Kigoma, Novemba 22, 2024.