JamhuriComments Off on Zitto akutana na waliogombea ACT Kigoma
Kiongozi wa Chama Mstaafu ndugu Zitto Kabwe amekutana na wagombea wa ACT Wazalendo wa mitaa 68 ya jimbo la Kigoma Mjini , kwa pamoja wametafakari namna uchaguzi ulivyokwenda.
Kiongozi wa chama Mlmstaafu pia amewapongeza wagombea na viongozi wa Kigoma wa Chama cha ACT Wazalendo kwa kazi nzuri walio fanya.