Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 23, 2024
MCHANGANYIKO
Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Jamhuri
Comments Off
on Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Naibu waziri kivuli wa viwanda na biashara kutoka ACT Wazalendo, Julius Masabo akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu, kata ya Kizazi, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chadema, Maisiana Damas (kulia) wakati wa mkutano wake wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia ACT Wazalendo, Novemba 23, 2024.
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu, kata ya Kizazi, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chadema, Maisiana Damas (kulia) wakati wa mkutano wake wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia ACT Wazalendo.
Post Views:
63
Previous Post
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
Next Post
Waziri Ulega abatiki pazia la shindabo la Ladies First
Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Habari mpya
Waziri Ulega abatiki pazia la shindabo la Ladies First
Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao
TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
Simba yazidi kujikita kileleni
Polisi yamsaka mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo
Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano
Waziri Chana aipa tano TTB kutangaza vivutio vya utalii
Serikali kupitia Wizara ya Fedha yajivunia mchango unaotolewa na ITA
ACT waahidi kufanikisha huduma ya maji Warumba
CCM yasaka ushindi wa kishindo Mbogwe