Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba, wakati alipowasili Mkoani Tanga, katika ziara ya siku moja Julai 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Kikundi cha Hamasa Wilaya ya Tanga, wakati alipowasili Mkoani humo, katika ziara ya siku moja Julai 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)