Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 2, 2022
Kitaifa
Ziara ya Rais Hichilema wa Zambia nchini
Jamhuri
Comments Off
on Ziara ya Rais Hichilema wa Zambia nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema aliyekuwa akimuelezea kuhusu zawadi ya picha aliyompatia Mhe. Rais Samia katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpatia maelezo kuhusu picha na vitabu vya Kiswahili mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema na baadae kukabidhi zawadi hizo katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022
Post Views:
162
Previous Post
Kibaha yaongoza ukusanyaji mapato, Bumbuli yashika mkia
Next Post
Gonzalez: Tutashirikiana na Serikali kupambana na vitendo vya ukatili
Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Habari mpya
Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba