Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba
Asanteni sana wananchi na wadau wote wa Sekta ya Madini mliotembelea katika banda la MADINI PAVILION kujifunza, kuona na kusikiliza.