Waziri Mkuu msibani kwa mtoto wa mbunge Cecil Mwambe
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu msibani kwa mtoto wa mbunge Cecil Mwambe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ndada Cecil Mwambe, wakati alipohani msiba wa Celia Mwambe, ambaye ni mtoto wa Mbunge huyo, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022. Kulia ni mwenza wake Rose Tweve. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),