Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihojiwa na kutoa majibu ya dodoso kuu la Sensa ya Watu na Makazi kwa Karani wa Sensa Amina Mwambe wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makazi yake ya Kijiji cha Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi Agosti 23, 2022 wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)