Waziri Mkuu azungumza na chama cha wenye ualbino Dodoma
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu azungumza na chama cha wenye ualbino Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chama cha Watu wenye Ualbino kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni19, 2024. Wa pili kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi na wa tatu kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)