Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 12, 2023
Habari Mpya
Waziri Mkuu azindua kongamano la kujengewa uelewa juu ya sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Mkuu azindua kongamano la kujengewa uelewa juu ya sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuzindua Kongamano la Kitaifa la Kujengewa Uelewa Juu ya Athari za Sauti Zilizozidi Viwango katika Nyumba za Ibada, Juni 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuzindua Kongamano la Kitaifa la Kujengewa Uelewa Juu ya Athari za Sauti Zilizozidi Viwango katika Nyumba za Ibada, Juni 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuzindua Kongamano la Kitaifa la Kujengewa Uelewa Juu ya Athari za Sauti Zilizozidi Viwango katika Nyumba za Ibada, Juni 12, 2023. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Kujengewa Uelewa Juu ya Athari za Sauti Zilizozidi Viwango katika Nyumba za Ibada baada ya kuzindua kongamano hilo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Juni 12, 2023.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
185
Previous Post
Timu ya Taifa ya walemavu wa akiliI waenda Ujerumani kushiriki michezo ya dunia
Next Post
Gazeti la Jamhuri Juni 13-19, 2023
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia
Waziri Silaa aiagiza bodi UCSAF kusimamia ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini
Habari mpya
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia
Waziri Silaa aiagiza bodi UCSAF kusimamia ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini
Taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa – Jaji Mugeta
Rais Samia : Dunia imetambua jitihada za Tanzania katika sekta ya afya
Utendaji kazi kituo cha huduma kwa wateja TANESCO wamkwaza – Dk Biteko
Rais Dk Samia apokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya Global Goalkeeper Award
Rais Dkt. Samia l apokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates
Hivi ndivyo CCM inavyoiishi misingi ya Azimio la Arusha
Baada ya kumaliza kazi ya kupeleka umeme vijijini sasa kasi inahamia vitongojini
Waziri Chana asisitiza ajenda ya kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali
Wizara ya Afya Somalia yaichagua Tanzania kupitia MSD kushirikiana kwenye ugavi