Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba  ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 – 2026, bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakifuatilia Hotuba  ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 – 2026, bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)