Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Kilimo, Mifugo na Uvuvi,   Fredrick Bwino Kyakulaga alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda ambako atamwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu  Hassan katika Mkutano  kuhusu Mpango wa Kilimo  Afrika  utakaofanyika  kwenye ukumbi wa hoteli ya Speke Resort and Conference Centre Munyonyo Januari 11, 2025. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa na kulia ni Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Nchi anayeshugulikia Kilimo, Mifugo na Uvuvi  wa Uganda,  Fredrick Bwino  Kyakulaga (wa pili kushoto) alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda Januari 10, 2025 ambako  atamwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu  Hassan katika Mkutano  kuhusu Mpango wa Kilimo  Afrika  utakaofanyika  kwenye ukumbi wa hoteli ya Speke Resort anda Conference Centre Munyonyo Januari 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).