Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kanali Ahmed Abbas (wa pili kushoto) walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea Novemba 30, 2024. Kesho watashiriki Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya UKIMWI Duniani.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea Novemba 30, 2024 na kesho atashiriki katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya UKIMWI Duniani. Kushoto ni Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Komred Oddo Mwisho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea , Novemba 30, 2024. Kesho watashiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa wakifurahia ngoma walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea , Novemba 30, 2024. Kesho watashiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)