Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 23, 2023
Habari Mpya
Waziri Mkuu awasili nchini akitokea Italia alipomuwakilisha Rais Samia mkutano wa FAO
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Mkuu awasili nchini akitokea Italia alipomuwakilisha Rais Samia mkutano wa FAO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Waziri Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
174
Previous Post
Rais Samia afanya uwekezaji mkubwa kulinda afya za Watanzania
Next Post
Spika Dk Tulia akifanya kampeni za urais wa IPU nchini Angola
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Dharura wa SADC Zimbabwe
Mahakama Kisutu yafungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza uongo inayomkabili Dk Slaa
Watanzania kunufaika na soko la ajira Qatar
Gavana Tutuba: Rejesheni mikopo kwa wakati, wengine wanufaike
Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
Habari mpya
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Dharura wa SADC Zimbabwe
Mahakama Kisutu yafungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza uongo inayomkabili Dk Slaa
Watanzania kunufaika na soko la ajira Qatar
Gavana Tutuba: Rejesheni mikopo kwa wakati, wengine wanufaike
Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa matokeo ya kihistoria mwaka 2024
Serikali yachukua hatua kulinda mazingira ya bahari
Shambulio la droni la Urusi laua tisa mashariki mwa Ukraine
Ebola yathibitishwa Uganda, muuguzi afariki Kampala
Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa
Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana
Rais Samia kuanza ziara ya kikazi Zimbambwe
Biashara saa 24 kuanza Februari 22
Wawili wafariki kwa mvua Moro
Milioni 466 kutolewa kwa vikundi Mafia