JamhuriComments Off on Waziri Mkuu awasalimia wananchi Makambako
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Makambako mkoani Njombe Machi 23, 2025. Alikuwa safarini akienda Dodoma kutoka Njombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya viongozi waliohudhuria wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasalimia wananchi wa Makambako mkoani Njombe Machi 23, 2025. Alikuwa safarini akienda Dodoma kutoka Njombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku