Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 5, 2023
Habari Mpya
Waziri Mkuu awajulia hali majeruhi wa mafuriko ya Katesh – Hospitali ya Rufaa Manyara
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Mkuu awajulia hali majeruhi wa mafuriko ya Katesh – Hospitali ya Rufaa Manyara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara baada ya kuwajulia hali majeruhi wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na kulia kwake ni Maganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Dominic Michael wakati alipowajulia hali majeruhi wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kulia ni Afisa Muuguzi Msaidizi hospitalini hapo, Lucas Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Petro Bohai wakati alipowajulia hali majeruhi wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, Disemba 5, 2023. Kushoto ni Afisa Muuguzi Msaidizi hospitalini hapo, Lucas Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
429
Previous Post
Hospitali Tumbi ina uhitaji wa damu lita 200, tukachangie kuokoa maisha ya wenye uhitaji -Gemela
Next Post
Waziri Mkuu atembelea kambi ya muda ya waathirika wa mafuriko Katesh
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Habari mpya
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure