Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 3, 2023
Habari Mpya
Waziri Mkuu atembelea maonesho ya Nanenane Mbeya
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Mkuu atembelea maonesho ya Nanenane Mbeya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na alizeti wakati alipotembelea banda la wilaya ya Chunya katika maonesho ya Wakulima ya Kimataifa Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijiii Mbeya, Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche parachichi wakati alipotembelea banda la kikundi cha Chilongola Agro Ferest cha Mafinga mkoani Iringa katika maneosho ya wakulima ya Kimataifa Nanenane kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 3, 2023. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kulia kwa Waziri Mkuu ni mlezi wa kikundi hicho na Mbunge wa viti maalum Iringa, Ritta Kabati.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ufugaji wa kisasa wa samaki aina ya Sato wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maonesho ya wakulima ya kimataifa Nanenae kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya, Agosti 3, 2023. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Post Views:
250
Previous Post
MSD yafanikiwa kupunguza rufaa za wagonjwa Mafia
Next Post
Senyamule atoa wiki mbili kukamilisha miradi Mpwapwa
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya

Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga