Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 30, 2023
Habari Mpya
Waziri Mkuu atembelea mabanda ya Maonesho ya Wizara ya Nishati
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Mkuu atembelea mabanda ya Maonesho ya Wizara ya Nishati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati alipotembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Nishati, January Makamba vocha itakayomwezesha kuchukuwa mitungi ya gesi ili kuigawa kwa wananchi ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati, January Makamba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group, Leonard Kushoka (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
253
Previous Post
ATE yazindua mchakato wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023
Next Post
Serikali kuwabaini wanaochanganya bangi kwenye vyakula
TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma
Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD
Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi
CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara
Trump apiga marufuku wanamichezo wa kike waliobadili jinsia kushindana mashindano ya wanawake
Habari mpya
TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma
Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD
Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi
CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara
Trump apiga marufuku wanamichezo wa kike waliobadili jinsia kushindana mashindano ya wanawake
Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga
Prince Rahim Al-Hussaini ateuliwa kuwa Aga Khan mpya
NCT yaendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa astashahada
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, akisisitiza maendeleo na uongozi bora
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga