Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam  Septemba 19, 2024, kabla ya kuondoka nchini kwenda Marekani kumwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Please follow and like us:
Pin Share