Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 5, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 5, 2018,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier (katikati), kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 5, 2018, kushoto ni mwakilishi mkazi wa Nchi ya Ufaransa, Emanuel Baudran.
Post Views: 179