JamhuriComments Off on Waziri Mkuu akiwa bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2022. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saasisha Mafuwe, Bungeni jijini Dodoma, Novemba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud Kigahe, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)