Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua uwanja wa Majaliwa baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa ya maboresho ya uwanja huo, Ruangwa Mkoani Lindi Agosti 19, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telak na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguzo ya goli wakati alipokagua uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa Mkoani Lindi, ambao umefikia asilimia 98 ya maboresho baada matengenezo yake