Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni sanaa na Michezo Gerson Msigwa, alipofika kuhani msiba wa marehemu Bi. Theresia Mdee ambaye ni mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee nyumbani kwake Area D Jijini Dodoma, Julai 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa pole kwa familia ya Marehemu Bi. Theresia Mdee ambaye ni mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee alipofika kuhani msiba nyumbani kwa Mbunge huyo Area D Jijini Dodoma, Julai 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo alipohani msiba wa Marehemu Bi. Theresia Mdee ambaye ni mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee nyumbani kwake Area D Jijini Dodoma, Julai 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)