Waziri Mkuu afungua kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu afungua kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensaya Watu na Makazi, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Hemed Suleiman Abdulla wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Februari 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 25, 2023. Wa tatu kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Hemed Suleiman AbdullaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Februari 25, 2023.