Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa kumiwa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na kushoto ni Meneja Mradi wa GAIN Tanzania, Archard Ngemera.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula  alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa  Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na kushoto ni Meneja Mradi wa GAIN Tanzania, Archard Ngemera.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Lishe, Amasidze Buhela alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya COUNSENUTH Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Lishe wa Jiji la Mbeya, Itika Mulagalila (wa tatu kushoto) katika maonesho ya  lishe mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa  Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua  Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Liste wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofunga mkutano huo kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Please follow and like us:
Pin Share