JamhuriComments Off on Waziri Mkuu afanya ziara ya kikazi Njombe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye uhitaji maalum Agape Ernesto Mandike, wakati alipotembelea Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Wasichana ya Njombe iliyoko Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, Machi 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye uhitaji maalum Agape Ernesto Mandike, wakati alipotembelea Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Wasichana ya Njombe iliyoko Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, Machi 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa kidato cha tano, Saraphina Mwagala (kulia), wakati darasa la TEHAMA katika Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Wasichana ya Njombe iliyoko Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, Machi 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Wasichana ya Njombe iliyoko Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, Machi 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)