Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama akizungumza  na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Jamal Katundu (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya walipokutana kwenye kikao cha kazi kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Julai 3,  2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)