Waziri amteua Mayay kuiwakilisha nchi Bodi ya Madola
JamhuriComments Off on Waziri amteua Mayay kuiwakilisha nchi Bodi ya Madola
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana amemteua Mkurugenzi wa Michezo, Ally Mayay Tembele kuwa Mwakilishi wa Tanzania kwenye Bodi ya Ushauri ya Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS).