Waagizaji na wauza dawa za kulevya hapa nchini, wanaendelea kusakwa, kukamatwa na kufungwa kimya kimya, lengo likiwa ni kunusuru kizazi cha Watanzania kinachoangamia kutokana na mihadarati.
Taarifa za ndani ambazo JAMHURI limezipata, zinaonesha kwamba walau asilimia 60 ya waagizaji na wauzaji unga waliokuwa kwenye orodha ndefu aliyokabidhiwa Rais John Magufuli, mwaka jana, tayari wamekamatwa huku waliosalia wakiendelea kutafutwa na vyombo vya dola.
Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amesema kazi ya kupambana na dawa za kulevya nchini imekuwa ni endelevu, huku akisisitiza kwamba mtangulizi wake, Charles Kitwanga, aliianzisha kwa mafanikio makubwa.
“Nimekuwa napata shida kidogo kuzungumzia suala la kupambana na wauzaji na waagizaji dawa za kulevya hapa nchini, kuna watu wanasema kuna mtu ameianzisha, ukweli ni kwamba sisi tunaendelea na mapambano hayo na wauzaji wakubwa wengi wamekamatwa na wako magerezani,” amesema Mwigulu.
Waziri huyo, ambaye alimrithi Charles Kitwanga aliyeondolewa katika wizara hiyo na Rais John Magufuli kutokana na kashfa ya ulevi, amesema vita hiyo inaendelea kwa kuvishirikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
“Mheshimiwa Kitwanga alifanikisha kukamatwa kwa kinara wa mtandao wa dawa za kulevya, Ali Khatib Haji Hassan, maarufu kama Shikuba (47) ambaye baadaye alikamatwa baada ya Marekani kutangaza kutaifisha mali zake.
“Tumekamata mtandao wote wa waagizaji na wauzaji waliokuwa kwenye mtandao wa kuweka rehani Watanzania huko Pakistan, IGP, amekuwa anafukuza askari kama kumi hivi kila mwezi kwa makosa mbalimbali,”amesema Mwigulu.
Waziri Mwigulu ameliambia JAMHURI, Jeshi la Polisi limekuwa linapata ushirikiano wa kutosha kwa Watanzania, taarifa ambazo zimekuwa zikiwezesha kukamatwa kwa watuhumiwa wa dawa za kulevya.
“Kwenye Wizara yetu ya Mambo ya Ndani, si kila habari ni habari…tunayo orodha ndefu hapa, tunamkamata mmoja mmoja, tumepata mchoro wote kuanzia hapa mpaka huko nje, mikakati iko vizuri sana na tumekubaliana kushirikiana na baadhi ya nchi huko nje,” amesema Mwigulu.
Mwigulu amesema mpaka sasa wamekusanya taarifa za kutosha kutoka kwenye soko la dawa za kulevya, huku akikiri kwamba kazi hiyo inahitaji ushirikiano baina ya Tanzania na mataifa mengine huko nje.
“Nimepata fursa ya kuzungumza ana kwa ana na baadhi ya vijana ambao walikuwa wamewekwa rehani, huko kuna mambo mengi ya ajabu. Wanaeleza hata namna ambavyo huko ulinzi umeimarishwa…sisi tunaendelea na mikakati yetu ya ndani, maana jambo hili linahitaji ushirikiano wa pamoja, tunapambana na waagizaji na wasambazaji,” amesema Mwigulu.
Februari mwaka jana, Rais Magufuli alitoa maelekezo mahsusi kupitia kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, akielekeza kuwa anataka kuiona Tanzania isiyokuwa na wauzaji na watumiaji ‘unga’.
Rais Magufuli alinukuliwa akisema haiwezekani wauza unga wakawa na nguvu kuliko Serikali. Tayari maofisa wa Serikali wameanza kulifanyia kazi agizo hilo kimyakimya na kwa kasi ya aina yake, ambako sasa wanakwenda nyumba hadi nyumba wakihoji wafanyabiashara wenye ukwasi usioelezeka, na katika kufanya hivyo wamekutana na ‘maajabu’.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi imeanzisha operesheni ya kukamata wafanyabiashara wote wanaohusishwa na dawa za kulevya jijini Dar es Salaam.
Katika operesheni hiyo, polisi wamekamata ‘mapapa’ wawili wanaoelezwa kuwa miongoni mwa ‘mapapa’ wa biashara hiyo haramu nchini. Mapapa hao wanaendelea kutumikia adhabu zao kifungoni.
JAMHURI limethibitishiwa kuwa Hemed Horohoro na Lwitiko Samson Adam, ni kati ya mapapa waliokuwa wakisakwa kwa udi na uvumba na sasa wametiwa nguvuni.
Lwikito ambaye anaelezwa kuwa na makazi nchini Afrika Kusini, alikamatwa nyumbani kwake Magomeni jijini Dar es Salaam. ‘Papa’ huyo, amekutwa kwenye ‘nyumba ya ajabu’.
Wiki iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alijitokeza hadharani na kuwataja baadhi ya maofisa wa Jeshi la Polisi pamoja na wasanii wanaojihusisha na dawa za kulevya.
“Furaha yetu si idadi ya watu wangapi tumewakamata kwa dawa za kulevya, furaha yetu ni Dar es Salaam kutokuwa sehemu ya dawa za kulevya, ikipona Dar es Salaam na dawa mikoani patakuwa salama,” amesema Makonda.
Naye Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Simon Sirro, amesema wameunda timu maalumu ya kushughulika na wanaouza dawa za kulevya, timu itakuwa na vyombo vyote vya dola si polisi peke yake, timu hiyo itakuwa chini ya Mkuu wa Mkoa.
Wakati hayo yakiendelea, tayari Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, ametangaza kuwasimamisha kazi askari 12 wa jeshi hilo waliotuhumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kujihusisha katika biashara ya dawa za kulevya.
Askari hao ni PF 14473 SACP Christopher Fuime, PF 17041 Inspekta Jacob Hashimu Swai, D 3499 D/SGT Steven Apelesi Ndasha, E8431 D/SGT Mohamed Juma Haima, E.5204 D/SGT Steven John Shaga, E.5860D/CPL Dotto Steven Mwandambo na E.1090D/CPL Tausen Lameck Mwambalangani. Wengine ni E.9652 D/CPL Benatus Simon Luhaza, D. 8278D/CPL James Salala, E.9503 D/CPL Noel Mwalukuta, WP 5103D/C Gloria Massawe, F.5885 Fadhili Mazengo.
Mwaka jana, JAMHURI lilifanikiwa kuiona orodha ya watu karibu 500 ambayo wanaotajwa kuwamo ‘mapapa’, watumiaji wadogo na wasafirishaji wa biashara hiyo haramu nchini.
Katika orodha hiyo, wamo wachungaji, waimba taarab maarufu na wafanyabiashara wenye ukwasi wa ghafla unaotisha wengi. Wapo ambao gazeti hili limefanikiwa kupata makazi yao, lakini wengi wameorodheshwa, na vyombo vya dola vinaendelea kukusanya taarifa zao.
Katika orodha tuliyochapisha hapa chini, baadhi ya mapapa hao ni raia wa kigeni. Majina ya nchi wanazotoka tumezionesha kwenye mabano, kama ilivyo kwa Watanzania ambao sehemu wanakotoka pia tumezionesha kwenye mabano.
Majina kadhaa ya ‘mapapa’ hao hayana majina ya sehemu wanazotoka. Juhudi za kubaini maneno hayo zinaendelea.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umefanikiwa kupata orodha ya watuhumiwa hao wakuu ambao baadhi wako rumande wakishikiliwa na vyombo vya dola, na huku wengine wakiwa wamefikishwa mahakamani na ama kuachiwa huru, au kutumikia kifungo cha nje.
Katika kuhakikisha wanakata mzizi wa fitina, orodha inayotajwa kufikishwa ofisini kwa Rais Magufuli, imeorodhesha wote waliofanya biashara ya ‘unga’ kwa kipindi cha miaka 10 kati ya mwaka 2005-2015.
Zaidi ya asilimia 90 ya ‘mapapa’ hao wapo jijini Dar es Salaam, huku maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Mbezi yakiongoza kwa kutoa idadi kubwa. Kilo moja ya cocaine inatajwa kuuzwa hadi Sh milioni 50.
Kwenye orodha hii, wamo Watanzania na raia wa mataifa mbalimbali walionaswa kwa nyakati tofauti, wengine wakiwa wamejichimbia kwenye mahekalu katika maeneo ya Mbezi, Oysterbay na Masaki.
Miongoni mwa ‘mapapa’ hao ni Fredy William Chonde (mkazi wa Magomeni), Kambi Zuberi (Temeke), Abdul Ghan na Shahbaz Maliki (Pakistan) ambao wamekamatwa wakiwa na kilo 175 za heroin.
Mapapa wawili – Shahbaz na Maliki ambao ni raia wa Pakistan – wametoroka nchini baada ya kupewa dhamana katika mazingira tata. Jaji aliyetoa dhamana hiyo kinyume na kifungu cha 27(1)(b) cha Sheria ya Kuzuia Dawa za Kulevya, kwa sasa anasikiliza kesi nyingine ya dawa za kulevya na tayari ametajwa kuwa na mizengwe ya hapa na pale.
Papa mwingine, Ally Mirzai Pirbakhish, ambaye ni Mpakistani, alikamatwa akiwa na waimba taarab maarufu ambao wote ni wakazi wa Kinondoni.
Waimbaji hao ni Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, na Hamidu Kitwana Karimu. Nao hawa majina yao yametua kwa Rais Magufuli.
Pia kuna watuhumiwa Ismail Shebe Ismail, Rashid Salim na Majed Gholamghader (wote wakazi wa Kinondoni, Dar es Salaam) ambao wamekamatwa wakiwa na kilo 50 za heroin.
Raia wa Afrika Kusini, Jack Vuyo na Anastazia Elizabeth Cloete, wako mbaroni kwa kukutwa na kilo 42 za heroin. Mnigeria aliyetambuliwa kwa jina la Kwako Sarfo amekamatwa akiwa na kilo 11.951 za cocaine.
Mapapa wengine ni wakazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, Hamidu Kitwana Karimu na Mpakistan Ally Mirzai Pirbakhish ambao wamekamatwa wakiwa na kilo 97 za cocaine.
Kwenye orodha hiyo wamo Mwanaidi Ramadhan Mfundo ambaye ameolewa na raia wa Kenya, lakini nyumbani kwa wazazi wake ni Mbezi Beach, Dar es Salaam. Huyu amelipa sifa ya pekee Jeshi la Polisi Tanzania kwa kumkamata kwani anatafutwa na Marekani, Uingereza, Ujerumani na nchini nyingine ambako kote huko alishindikana kukamatwa, lakini polisi wa Tanzania wakamkata akiwa Mbezi, Dar es Salaam.
Wengine ni Sara David Munuo (Kenya), Anthony Karanja (Kenya), Benny Ngare (Kenya), Almas Hamis Said (Kinondoni), Yahaya Haroun Ibrahim (Kinondoni), Aisha Said Kungwi (Mwenge, Dar es Salaam), Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis) na John William Mwakalasya ambaye ni mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.
Aidha, yumo Mtanzania mwenye asili ya Kiasia anayeitwa Rashid Ally Mtopea (mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam) ambaye pamoja na wenzake wawili – Idd Adam Mwaduga (Tanga) na Nurdin Husein (Ilala) – wamekamatwa wakiwa na kilo 12 za heroin.
1: Steven Gwaza (Upanga, Dar es Salaam).
2: Rebecca Wairimu Mwangi (Kenya)
3: Khatibu Bakari Khatibu (Magomeni)
4: Khalid Salimu Maunga (Uingereza)
5: Dhoulkefly Awadhi (Tabata Kimanga, Dar es Salaam)
6: Abdallah Pashua Kipevu (Kinondoni)
7: Diaka Brama Kaba (Guinea)
8: Ndjane Abdubakar (Liberia)
9: Sylivia Kaaya Namirembe (Uganda)
10: Farid Kisuule (Uganda)
11: Robinson Dumba Teise (Uganda)
12: Ismail Mugabi (Uganda)
13: Rashid Salim Mohamed (Uganda)
14: Mini Thabo Hamza (Afrika Kusini)
15: Kwako Sarfo (Nigeria)
16: Hamis Muhamed Mtou (Magomeni)
17: Mustapha Musa (Kinondoni)
18: Amani Saidfadhil Daruwesh (Kinondoni)
19: Afshin Jalal (Kinondoni)
20: Jack Vuyo (Afrika Kusini)
21: Anastazia Elizabeth Cloete (Afrika Kusini)
22: Simon Eugenio Fadu
23: Assad Azziz (Mikocheni B)
24: Ismail Shebe Ismail (Kinondoni)
25: Rashid Salim (Kinondoni)
26: Majed Gholamghader (Kinondoni)
27: Anna Jamaniste Mboya (Kinondoni)
28: Fredy William Chonde (Magomeni)
29: Kambi Zuberi (Temeke)
30: Abdul Ghan (Pakstani)
31: Shahbaz Malik (Pakstani)
32: Livinus Ajana Chime (Nigeria)
33: Chukuwudu Denis Okechukwu (Nigeria)
34: Pailo Ekechkwu (Nigeria)
35: Hycenth Stan (Afrika Kusini)
36: Shoaib Mohamed (Pakistani)
37: Pedro Alfredo Chongo (Kinondoni)
38: Kadiria Said Kimaro (Kawe)
39: Abdallah Rajab Mwalimu (Magomeni Kagera)
40: Mwiteka Godfrey Mwandemele (Kinondoni)
41: Abbas Kondo Gede (Kinondoni)
42: Mwanaidi Ramadhan Mfundo (Kenya)
43: Sara David Munuo (Kenya)
44: Anthony Karanja (Kenya)
45: Benny Ngare (Kenya)
46: Almas Hamis Said (Kinondoni)
47: Yahaya Haroun Ibrahm (Kinondoni)
48: Aisha Said Kungwi (Mwenge)
49: Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis)
50: John William Mwakalasya (Temeke)
51: Ally Mirzai Pirbakhish (Pakstani)
52: Aziz Juma Kizingiti (Kinondoni)
53: Said Mashaka Mrisho (Kinondoni)
54: Abdulahman Mtumwa (Kinondoni)
55: Hamidu Kitwana Karimu (Kinondoni)
56: Ramadhan Athuman (Tanga)
57: Rashid Mohamed (Tanga)
58: Ally Mohamed Kichaa (Tanga)
59: Issa Abdurahman (Tanga)
60: Rashid ally Mtopea (Magomeni)
61: Idd Adam Mwaduga (Tanga)
62: Nurdin Hussein (Ilala)
63: John Adam Igwenma (Nigeria)
64: Ismail Adam au Athuman Yamvi a.k.a Rasta (Afrika Kusini)
65: Ahmed Said Mohamed (Temeke)
66: Morine Amatus Liyumba (Kinondoni)
67: Rumishael Shoo
68: Abdallah Omary Salum
69: Salama Mashaka
70: Ekene Paul Ndejiobi (Nigeria)
71: Hamis Hemed Issa
72: Lwaretta Chioma Ani (Nigeria)
73: Cosmas Chukwumezie (Nigeria)
74: Ifeanyi Malven Kalu Oko (Nigeria)
75: Sunday Valentine Ugwu (Nigeria)
76: Allan Duller (Ireland)
77: Alberto Mendes (Ghana)
78: Joseph Chukwumeka Nwabunwanne (Nigeria)
79: Kwaku Safo Brobbery (Ghana)
80: Princewill Ejike (Nigeria)
81: Mary Mvula (Zambia)
82: Waziri Shaban Mizongi (Dar es Salam)
83: Santos Joseph Mpondela (Dar es Salaam)
84: Kelven Kelven Mwanzen (Dar es Salaam)
85: Emmanuel Adom (Ghana)
86: Asha Omary Ramadhan
87: Mariam Mohamed Said (Kinondoni)
88: Abdullatif Fundikira
89: Marceline Koivogui (Guinea)
90: Edwin Cheleh Swen (Liberia)
91: Benjamin Obioma Onourah (Nigeria)
92: Sofia Seif Kingazi (Kinondoni)
93: Josephine Mumbi Waithera (Kenya)
94: Idd Juma Mfaume (Dar es Salaam)
95: Amina Kasim Ramadhan(Kinondoni)
96: Vivian Edigin (Nigeria)
97: Hadja Tambwe (Kinondoni)
98: Sasha Farhan Mnyeke (Kinondoni)
99: Mychel Andriand Takahindangeng (Indonesia)
100: Kristina Biskasevskaja (Luthenia)
101: Stephen Basil Ojiofor 28 (Nigeria)
102: Judith Marko Kusekwa (Tabata)
103: Khamis Said Bakari (Kinondoni)
104: Tabia Omary au Neema Omary (Kinondoni)
105: Hamisi Abdalah
106: Haji Salum Mintanga
107: Mohamed Ally
108: Pendo Stanley Msaki
109: Ramadhani shabani
110: Nickson Jackson
111: Mussa Lazaro
112: Joseph Msami au Kombe
113: Tile Godfrey
114: Upendo Samweli
115: Joseph Loiruku Manina
116: Karim Benajira na Mwanaisha Ally
117: Prosper Charles
118: Fraiaza Benjamin au Babu
119: Richard Godfrey au Loisor
120: Iddi Rajabu
121: Ally Mohamed na Juma Salum
122: Sophia Rashid na Latifa Ally
123: Khalifa Said
124: Estomi Joel au Sangi
125: Abdala Hamza au Haule
126: Haji Bakari
127: Jasmine Tesha
128: Evance Sebastian
129: Goodluck Anael Mtui
130: Estomih Peter Msuya
131: Laitness Kiando
132: Juma Said
133: John Alex
134: Said Maruku
135: Mohamed Rajabu
136: Simon Sebastian
137: Joyce Francis
138: Hussein Hassan
139: Simon John
140: George Matowo
141: Fred Maloli
142: Rashid Abdallah au Buriburi
143: Paulo Baton,
144: Kashinje Seleli,
145: Sheha Kapaya
146: Moshi Joseph
147: Said Mshana
148: Elias Matelema
149: Pascal John
150: Ramadhan Mohamedi
151: James Samwel
152: Adamu Glehamu au Muhomba
Mrisho Simba
153: Juma Kassim au Malila
154: Sadal Jamal
155: Deogratius Ndasi
156: Saada Ally Kilongo
157: Obiesie Gabriel Chibueze – Nigeria
158: Kennedy Elias Shayo
159: Athumani Musa
160: Abdallah Hamza au Haule, Andrew
161: Mkandilo
162: Abass Abubakar Swai
163: Haji Ibrahim
164: Mwenye gari T 526 BWK
165: Venance Sebastian
166: Hussein Mohamed
167: Bahati Joseph
168: Sadiki Diwani Mhindi
169: Shabani Selemani
170: Yusuph Alawi
171: Kurwa Mbwana
172: Amina Ahmed
173: Joachim Ikechu – Nigeria
174: Said Ally
175: Ally Juma
176: Miraji Salim
177: Hassan Amri
178: Liviston Bathoromeo,
179: CPL Edward
180: PC George
181: Levila Mollel
182: Levava Londondawa,
183: Saiburu Khuresoi Lukumay,
184: Laskari Lenye Mollel,
185: Kunini Lenye Mollel
186: Saning’o Keuya Mollel
187: Livingstone Matholomeo Urasa
188: Mikidadi Hussein au Athuman
189: Masesa au Habaiba Andrew Joseph
190: Allen Habib
191: Harrison Chigozia Ubah (Nigeria)
192: Njani Hassan Kapaya
193: Adamu Rashid Jalal
194: Idd Hassan Chomu
195: Karim Renajira
196: Khadija Hussein Lukanga
197: Fraizer Benjamin au Babu
198: Bahati Joseph
199: Abdul Mohamed
200: Raheli Yona
201: Simon John
202: Juma Ramadhani
203: Zephania Laizer
204: Adoloph Thobias Mushi
205: Mrisho Simba
206: Danie Kumuo
207: Ally Ramadhani
208: Anna Samweli
209: Felista Kalembo
210: Hussein Hassan
211: Mussa Bwana Mrisho
212: Hakuna
213: Iddi Jumanne
214: Hussein Rashid
215: Joyce Francis
216: Musa Murigo
217: Mohamed Said
218: Oddoi Onesmo
219: Benard Reginald
220: Felista William
221: Allykad Alfonce
222: Selemani Rashid
223: Adam Gleham Mhomba
224: Pius Laurence
225: Jasmin Tesha
226: Juma Ramadhani
227: Soloka Ally na Wenzake 2
228: Madege Pakasi
229: Joseph Polikapi
230: Emmanuel Absolom
231: Ally Ramadhani
232: Petro Simon
233: Said Mohamed Mollel
234: Raphael John
235: Abdul Ayubu
236: Samweli Loshilari
237: William Matei
238: James Wilison
239: Godfrey Fanuel
240: Rebeka Abdallah
241: Rukia Ally
242: John James
243: Agustino Julius
244: Joseph Lucas
245: Praygod Maliki
246: Khamis Mbwana Suya
247: Mussa Ramadhani Mgonja
248: Abdulraazizi Makuka
249: Hadija Tambwe
250: John Adams Igwenma (Nigeria)
251: Salama Omary Mzara (Kinondoni)
252: Abdulrhaman Rubeya Fuad Salim
253: Ayoub Hoot Mohamed
254: Mwanaisha Salim Seif
255: Rebecca Vicent Maganga
256: Mwaija Hussein
257: Ally Omar Issa
258: Huruma Elnaja
259: Michael Stanley
260: Mabunduki Mapunda
261: Dunia Seleman
262: Justine Theophil
263: Abdallah Mfundo
264: Mashaka Bakari
265: Subira Bakari
266: Islama Rashid
267: Dickson Anthony
268: Gati Maginga Kilanga
269: Munira Khamis
270: Maul Said Kaikai
271: Athuman Moshi Kassimu
272: Mwajuma Mrisho
273: Maison John Mateso
274: Minyori Ramadhan Mohamed Kungulo
275: Khamis Kassim Juma
276: Simon Philipo Milanzi
277: Juma Khamis (a.k.a. Wakupotezea)
278: Ally Abdallah
279: Happy Zacharia
280: Iddy Athuman
281: Mohamed
282: Julius Paschal
283: Evod John
284: Haji Maneno
285: Omary Ally Bweka
286: Mohamed Omary Khatibu
287: Hashim Mohamed Pongwa
288: Hery Jaffar
289: Ahmed Shebe Ameran
290: Iddi Maulid Shaweji
291: Khamis Omary
292: Ramadhan Omary
293: Ismael Yusuf
294: Juma Rashid
295: Kuruthum Hamad
296: Zakaria Mohamed Sasamalo
297: Abdallah Mussa Mshindo
298: Mohamed Abdul Tindwa
299: Mohamed Hashim Masheli
300: Akida Ernest
301: Hassan Athuman Naheka
302: Salehe Mohamed Abdallah
303: Stumai Chande
304: Batuli Adam
305: Raymond Gilbert Jungulu
306: Adam Godwin
307: Zidi Mselem
308: Kassim Ally Juma
309: Dyamwale Chizenga
310: Abdallah Juma Reani
311: Habibu Waziri Kipawa
312: Abdul Mohamed Mwaurwe
313: Amanzi Said Amanzi
314: Salum Zarafi
315:Billy Sohal
316:Shukuru Peter
317: Omary Mfundo
318: Salehe Hemed
319: Said Ismail
320: Monica Kulanga
321: Charles Mrisho
322:Mwanaid Athuman
323: Bruno Msuya
324:Kassim Said
325 enis Charles
326:Hassan Mhando
327:Aclesy Haule
328: Salum Yusuf Kimwaga
329:Abedi Mfundo
330:Tunu Said
331:Fatuma Salehe
332: Mwajuma Salehe
333: Salum Khamis
334: Mbwana Mbaraka Mkanga
335 aud Ally Chambuso
336:Ibrahim Ramadhan Mniga
337: Rozi Lukasi
338: Udugu Jumbe
339: Mohamed Kalota
340: Godwin Vitus Chacha
341: Eliasa Athuman
342: Mvano Ova Hussein
343: Mood Dudufued
344: Issa Dachi
345: Filbert Swai
346:Hussein Francis
347: Mirambo Hassan
348: Nasibu Abdallah
349:Tariq Salim Abass
350: Omary Said Mumomo
351: Zuberi Mwamba Mabruki
352:Abdallah Haji Mrisho
353: Khamis Athuman Khamis
354: Vodika Roosevelt
355 otto Shabani Mohamed
356:Twaef Mohamed Ghanim
357: Salum Hamis Ramadhan
358: James Benezeti Munishi
359: Rahim Abdul
360: Juma Stumai
361: Luti Elias
362: James John
363: Hussein Mbwana
364: George Renatus Masalu
365: Jamal Rashid
366: Asha Thabiti
367: Zaituni Abdallah – Mama Sued
368: Fatuma Juma – Mama Simba
369: Salama Juma
370: Juma Jamali
371: Juma Mussa
372: Abdulrahman Mbaraka
373: Maneno Said Kitungi
374: Mussa Salum
375: Hashim Ashirafu
376: Nyambuya Joel
377: Rashid Burhani Milanzi
378: Ally Mikidadi Ngunde
379: Mwijuma Ibrahim Kondo
380: Halifa Said
381: Shaban Said Makuka
382: Khamis Ramadhani Mgomba
383: Ruzuna Mwakasha
384: Rajabu Mohamed (Roger)
385: Athuman Chande
386: Shamin Azizi
387: Hashim Hashid Mashaka
388: Hussein Hamis
389: Ibrahim Rajabu
390: Mohamed Rajabu Mkali
391: Hatim Cheucheu Hungu
392: Hamis Uyoro (Kikoti)
393: Seif Hassan
394: Mnyamisi Mungia Khamis
395: Said Kisoka Said
396: Bakari Suleiman
397: Mwaita Mohamed
398: Asubisye Mwasumbi
399: Dalmat Jovin
400: Ally Rashid Dilunga
401: Mwinyi Seleman Mwachuo
402: Zinduna Ramadhan
403: Sanky Seleman (a.k.a Nzowa)
404: Karume Ngoi (a.k.a Karume)
405: Issa Thabit
406: Victor Patrick
407: Kiteguo Seif Ndumbikwa
408: Mbwana Mohamed (Liyobo)
409: Bonifasi Kulanga
410: Kidunda Omary
411: Amani Mavula
412: Mchola Bakari Majomba
413: Mohamed Simba Kassim
414: Asha Yusufu (Rasta)
415: Mshamu Njanga Abdallah
416: Zena Selemani Mwanaisha Abdallah
417: Ally Abdallah Pashua
418: Mbaruku Rashid Rajabu
419: Mohamed Jumbe Mohamed
420: Seleman Mohamed Masoud
421: Kabote Mfaume Kiboko
422: Selehe Hemed Lugongo
423: Muharami Mohamed Abdallah
424: Hatibu Nyamisi Nyangasa
425: Juma Alfan Hussein
426: Khariri Mohamed Khariri
427: Alfreda Anjelo Kulanga
428: Elly Hamis Mrisho
429: Iddi Haji Fumo
430: Ras Juma Ally
431: Ally Khatibu Haji
432: Hemed Juma Mrisho
433: Abdallah Hamza Said
434: Mohamed Noor Sheikh
435: Selemani Omary Zuberi
436: Hassan Masoud Ally
437: Akida Ayubu Akida
438: Bakari Abdurahman Bakari
439: Bashiri Mohamed Shallie
440: Jamal Rashid Ismail Mkoko
441: Ally Juma Said
442: Pili Ramadhani
443: Mosses Lwama
444: Mbaraka Shaban Muba
445: Richard Mbunda
446: Ayubu Mfaume Kiboko
447: Abbas Mohamed Hussein
448: Juma Hemed Tumbo
449: Sophia Joseph Ntembo
500: Said Hilal Abdallah
501: Thabit Juma Khamis
502: Suleman Bakari
503: Salum Abasi
504: Mustafa Omary Mwinyi
505: Alim Iddi Said Mwinyi
505: Othman Juma Othman
506: Shaban Kibwana Seif
507: Raymond Swift Mwakatwila
508: Abas Bachu Kasu
509: Jumanne Ramadhan Chambala
510: Irene Godfrey Mhina
511: Abdallah Abdurahman (Kidagaa)
512: Uwesu Ally Hussein
513: Zuberi Ally Mohamed
514: Khamis Seleman Khamis
515: Said Seleman Khamis
516: Mwarabu Bakari Mwarabu
517: Rajabu Shaban Juma
518: Ally Mohamed Seif
519: Mohamed Hassan Mkachika
520: Ally Bakari Mloli
521: Kelvin Daud Mchikinyi
522: Ally Mohamed Nyundo
523: Fatuma Juma (Mama Simba)
524: Shukuru Thabit Mtetwa
525: Mshamu Mjanga Abdallah
526: Zena Seleman (Mwanaisha Abdallah)
527: Ally Abdallah Pashua
528: Mbaruku Rashid Rajabu
529: Eliud Juma Mbwambo
530: James Patrick Mwangi
531: Hemed Abdallah Mwinyimvua
532: Juma Said Hussein
533: Haidery Mohamed
534: John Kauta
535: Mohamed Salehe
536: Doreen Josephat Urio
537: Richard Barnabas Mfundo
538: Soud Awadhi Mzee
539: Maneno Rajabu
540: Mdanzi Mjaja
541: Khalid Ramadhan
542: Soud Rasheed Soud
543: Issa Mangara Seid
544: Omary Salehe
545: Omary Ramadhan Yusuf
546: Mfaume Said Mugulo
547: Ramadhan Miraji Mkangata
548: Abdallah Nassoro Kimoko
549: 0mary Juma Mohamed
550: Ally Said Omary
551: Abdallah Nassoro (Kibwetere)
552: Mariam Yona M’ngata
553: Hussein Mohamed Hariri
554: Tom Juma Masoud
556: Frank Obed Shoo
557: Jaffar Kassim Jaffar
558: Karume Ngoi
559: Adamu Mohamed Monde
560: Liliani Kime