Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wataalam wa afya wa JKCI wanaokwenda nchini Malawi katika Hospitali ya Queen Elizabeth kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu na uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa Malawi wakati akiwaaga ofisini kwake kabla ya kuanza safari yao kesho.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa afya wa JKCI wanaokwenda nchini Malawi katika Hospitali ya Queen Elizabeth kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu na uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa Malawi wakati akiwaaga ofisini kwake kabla ya kuanza safari yao kesho.Picha na: JKCI

.

Please follow and like us:
Pin Share