JamhuriComments Off on Wasira azungumza na wananchi Jimbo la Itilima
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akihutubia maelfu ya Wananchi wa Jimbo la Itilima katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Viwanja Vya Nkoma B, leo Machi 29, 2025.