Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akifurahia tuzo ya heshima aliyotunukiwa na Jukwaa la Wahariri (TEF) kwa mchango wake katika tasnia ya habari kwenye mkutano wa 12 wa kitaalmu wa wahariri uliofanyika mkoani Morogoro. Kulia ni Mwenyekiti wa TEF Deodatus Balile.
Baadhi ya wahariri wakifuatilia mkutano wa 12 wa kitaaluma ulioanza leo Machi 29,2023 mkoani Morogoro