Baraza la Mitihani (NECTA) limezinfungua shule/vituo vitatu vya mitihani vilivyodhibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne (CSEE) 2022.
Hayo yamebainishwa Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Athumani Amasi wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne, amesema kuwa kwa mujibu wa kifungu c 4(8) cha kanuni za Mitihani cha mMKWA 2016 HADI HAPO Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshaji wa mitihani ya kitaifa.
Vituo hivyo ni S2365 Andrew Faza Memorial, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam na S-0265 Cornelius, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam na S5387 $ P 5387 Mnemonic Academy,Halmashauri ya Mjini, Mjini Magharibi Zanzibar