Baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumkuta na hatia Haji Manara na kumfungia miaka miwili kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na faini ya sh. milioni 20 kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia, uongozi wa Yanga umetoa tamko;