Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 5, 2023
Habari Mpya
Ufunguzi jengo la Mahakama Namtumbo
Jamhuri
Comments Off
on Ufunguzi jengo la Mahakama Namtumbo
Mtendaji Mkuu wa Mahakama nchini Profesa Elisante Ole Gabriel kulia,akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la jengo la mahakama ya Wilaya ya Namtumbo kwa Jaji kiongozi wa Tanzania Mustapha Siyani wa pili kulia wakati wa ufunguzi wa mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma,wa tatu kulia Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea Yose Mlyambina na wa pili kushoto Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Vita Kawawa.
Jaji kiongiozi wa mahakama kuu Tanzania Mustapha Siyani wa kwanza kushoto aimsikiliza Hakimu mkazi mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Gloria Lwomile baada ya kufungua rasmi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo,wa pili kushoto Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya songea Yose Mlyambile.
Baadhi ya Mahakimu wa Mahakama za wilaya mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Baadhi ya viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani)wakati ya ufunguzi wa jengo la Mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani humo.
Post Views:
377
Previous Post
Rais Mstaafu Karume awakumbusha wafanyabiashara kutoa risiti za kielektroniki
Next Post
Ratiba ya kuanza kwa vikao vya Kamati ya Bunge
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Habari mpya
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19
Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka
Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba
Waziri Mkuu amjulia hali Naibu Waziri wa Ardhi Godfrey Pinda
Waziri Mhagama agawa mashine 185 za uchuguzi wa kifua kikuu nchi nzima
Ndejembi amaliza mgogoro uliodumu kwa miaka 30
Majaliwa: Ubora wa miradi uwiane na thamani ya fedha