Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekikosoa vikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia mtoto wakati wa kampeni za ubunge Jimbo la Kinondoni, pia matumizi ya rasilimali za umma (magari) katika kampeni za Siha.
TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM
Jamhuri
Comments Off on TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM
Previous Post
RUFAA YA SUGU YAFIKA MAHAKAMA KUU MBEYA