Aliyekuwa mpiga picha wa kituo cha runinga cha Azam, Iddi Mambo amefariki dunia baada ya kuugua ghafla. Msiba upo nyumbani kwao Kawe Ukwamani.