Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 31, 2022
Michezo
TAMISEMI Queens yaitambia JKT Mbweni
Jamhuri
Comments Off
on TAMISEMI Queens yaitambia JKT Mbweni
Moja kati ya heka heka katika goli la Mbweni JKT wakati Mchezaji Gloria Benjamin wa Tamisemi Queens akijaribu kuwahadaa wachezaji Zamzam Hamis (C), Jesca Ngisaise (GA) na Upendo Mpera (WA) huku mchezaji mwenzake Mersiana Samwel (GD) akiwa tayari kutoa msaada katika mchezo mkali na wa kusisimua kati ya Tamisemi queens na Mbweni JKT uliomalizika kwa Tamisemi kushinda kwa magoli 52-37, katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezaji Zamzam Hamis wa Mbweni JKT akijaribu kuukamata mpira uliorushwa na Jesca Ngisaise (GA) wa JKT Mbweni huku mchezaji Semeni Abeid (WA) naye akinyoosha mkono kuuwahi mpira huo katika mchezo wa Ligi ya Netiboli Tanzania uliochezwa jana mjini Morogoro ambapo Tamisemi ilishinda magoli 52-37
Mchezaji Lilian Jovin (GS) wa Tamisemi akifunga mojawapo ya magoli yaliyoipa ushindi timu yake dhidi ya JKT Mbweni katika mchezo mkali na wa kusisimua uliochezwa jana katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo Tamisemi ilishinda kwa magoli 52-37
Post Views:
472
Previous Post
TANESCO: Ukame waathiri mabwawa 4 ya umeme
Next Post
Rais Samia alivyozindua matokeo ya Sensa na Makazi
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki
Rais Dkt. Samia aweka jiwe la msingi ujenzi Msikiti wa Al Ghaith Morogoro
Habari mpya
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki
Rais Dkt. Samia aweka jiwe la msingi ujenzi Msikiti wa Al Ghaith Morogoro
Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki
Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut
Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa
Kapinga atumia fainali mpira wa miguu kuhamasisha ushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine
Mgombea wa upinzani Yamandu Orsi ashinda urais Uruguay
Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi
Samia atoa kibali ajira walimu 4,000
Serikali yatangaza neema sekta ya madini
Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote