JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: UN

Marekani yajitoa katika baraza la Umoja wa Mataifa la haki za binaadamu

Marekani imejitoa katika baraza la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa na kulitaja kuwa na ‘unafiki wa kisiasa na lenye upendeleo’. “Taasisi hiyo ya “unafiki na upendeleo inakejeli haki za binaadamu”, amesema mjumbe wa Marekani katika Umoja huo Nikki…

UMOJA WA MATAIFA WALAANI MAUAJI YA RAIA YANAYOFANYWA NA MAJESHI YA SAUDI ARABIA NA WASHIRIKA WAKE NCHINI YEMEN

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo 54 katika soko lenye shughuli nyingi na 14 wa familia moja waliokuwa shambani. Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa…

UN Yakutana Kumjadili Trump

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeombwa kuitisha mkutano wa dharura  kujadili hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump  kuuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Telaviv hadi Jerusalem. Maamuzi hayo yalisababisha maandamano makubwa yaliyosababisha watu 17 kujeruhiwa kwa risasi na…

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ofisi ya Umoja wa Mataifa na kusema uamuzi huo ni hatua muhimu ya kuendeleza mchakato wa Serikali wa kuhamia Dodoma.  Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamsi, Desemba 7, 2017) wakati akizungumza na viongozi na watumishi…

Kamati ya UN Kutetea Haki za Wapalestina Yazungumza na Waziri Dk. Mwakyembe

  KAMATI maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina imekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwa mazungumzo maalum walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Akizungumza…