Tag: tanzia
WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amefiwa na mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.
VIONGOZI MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MKE WA KINGUNGE
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo. Huzuni ilitawala pale mwili wa Marehemu…
TANZIA: ZUBER MSABAHA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha…
Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama
Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo…
RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE
Ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Peres Kingunge Ngombale Mwiru(Mama Kinje) Jumatano tarehe 10/1/2018- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku…
TANZIA: Beki wa Zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jogoo Afariki dunia
TANZIA: Beki wa kati(Sentahafu) wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa(Taifa Stars), Athuman Juma Chama maarufu kama Jogoo amefariki asubuhi ya leo, Mchazaji huyo amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa presha…