JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: tanzia

Wasira Atoa Ya Moyoni Kifo cha Kingunge

  Kada na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wa CCM Steven Wasira amesikitishwa na kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru  kwani kama Taifa alikuwa ni mtu muhimu wakati wote kutokana ushiriki na mchango wake katika nchi, akiwa ndani CCM alikuwa Kiongozi na…

TANZIA: Mwanamuziki Mowzey Radio Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Uganda, Moses Ssekibogo ‘Mowzey Radio’ enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema…

JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA

Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…

BURIANI GWIJI WA MUZIKI WA JAZZ HUGH MASEKELA

Na Moshy Kiyungi Tabora Mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa wa Afrika Kusini, Hugh Masekela, amefariki dunia Januari 24, 2018 jijini Johannesburg, Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 78. Chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa tezi dume alioupata miaka kadhaa…

TANZIA: Jaji Kisanga Afariki Dunia

Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha. Kisanga aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa, pia alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Haki…

Picha za Mazishi ya Mama Kibatala Morogoro

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro.   Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah…