JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu aachiwa huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo jijini Mbeya. Wawili hao walikuwa katika Gereza la Ruanda Jijini Mbeya walikokuwa wakitumikia kifungo cha miezi (5) baada ya kukutwa na…

MBUNGE JOSEPH MBILINYI ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE KWA KUTUHUMIWA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amerudishwa rumande katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya hadi Jumatatu wiki ijayo ambapo kesi yake ya kutoa maneno ya uchochezi itakaposikilizwa mfululizo. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…

MBUNGE  SUGU ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE

Mbunge Joseph Mbilinyi “Sugu”.   MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel…