JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP)

Mwanafunzi wa UDSM ‘aliyetoweka’ Awekwa Chini ya Polisi Ili Kubaini Ukweli

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP) na mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Abdul Nondo ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha, usiku wa kuamkia jana aliripotiwa kupatikana mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,…