Tag: mwalimu nyerere
NYERERE 349
Sehemu ya 7 Kama shule iko kijijini (na katika shule mpya zitakazojengwa siku zijazo) itawezekana kwamba shamba la shule liwe karibu karibu na shuleyenyewe. Lakini katika miji na katika shule za zamani zilizo katika vijiji vyetu vyenye watu wengi, huendaisiwezekane…
Elimu ya kujitegemea … (3)
Hotuba ya Baba wa Taifa aliyoitoa March, 1967 Twajaribu Kujenga Taifa la Namna Gani? Maana yake neno hili ni kwamba mipango ya elimu katika Tanzania haina budi kutilia mkazo juhudi ya pamoja siyo maendeleo ya mtu mmoja binafsi. Elimu haina…
Nyerere: “Kama idadi ingekuwa ngamia, Afrika ingekuwa juu”
Haya ni maneno aliyoyasema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika siku ya maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru Ghana, jijini Accra, mwaka 1997. Alizitaka nchi za Afrika kuungana kuwa na nguvu ya kiuchumi na sauti kubwa zaidi kwani pamoja na…
Nyerere – Demokrasia
“Wananchi wanapoonyesha makosa ya uamuzi wa kipumbavu wanatumia haki yao ya uraia. Wanaponung’unika kwa uamuzi ambao si wa kipumbavu wanaweza wakaelekezwa mpaka wakaelewa kwanini uamuzi ule ulifanyika, na faida zake ni nini.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA 7
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Maendeleo ni kazi mwalimu alikuwa anazungumzia kuhusiana na sera ya Kuanzisha vijiji vya ujamaa na namna ya kuzingatia vipaumbele vya msingi katika kuwaletea maendeleo wananchi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa pale tulipo ishia wiki…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SITA
Nimekwenda katika kijiji kimoja Iringa. Nadhani safari hiyo tulikuwa na Mheshimiwa Ng’wanamila – hii anayoimba anasifu mambo aliyojifunza Njombe na Iringa. Tumekwenda katika Kijiji kimoja cha Iringa- ni kijiji cha Waziri wa Kilimo, Joseph Mungai. Akanipeleka Joseph pale au tuseme,…