JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: majaliwa

Waziri Mkuu ataja mafanikio ya JPM

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametaja mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, na kutoa mwito kwa wananchi kuzidi kuunga mkono juhudi za serikali. Hayo yamo kwenye hotuba yake kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali…

MAJALIWA AKUTANA NA MABLOZI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie…

Amlawiti binti, mahakamani majaliwa

DODOMA EDITHA MAJURA Mwanafunzi wa Darasa la Nne, anayesoma shule iliyopo Kata ya Nzuguni, (majina yanahifadhiwa kimaadili) amekuwa akilawitiwa na mwendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi mwaka huu, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa hizi zinaibuka…

Waziri Mkuu Asema Serikali Itaimarisha Masoko ya Mazao Nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija. Aliyasema hayo jana (Februari 2, 2018) wakati akikagua Kampuni ya Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), iliyoanzishwa kwa lengo la kuimarisha masoko. Alisema kupitia…

WAZIRI MKUU AKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WAZEE 280

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amegawa kadi za matibabu kwa wazee 280 wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kadi hizo zitawawezesha wazee hao kutibiwa bure. Amesema Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa matibabu bure…