JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: kingunge

Kingunge Arudishwa Tena Muhimbili Baada ya Mazishi ya Mke Wake

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi katika makaburi ya…

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE

Ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Peres Kingunge Ngombale Mwiru(Mama Kinje) Jumatano tarehe 10/1/2018- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku…

KINGUNGE ANENAMAZITO KWA MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Kingunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini…