Tag: kingunge
Ngombale-Mwiru: Afisa JKT asiye na ‘rank’
Nimefurahishwa na ule ufafanuzi uliotolewa na Monsinyori Deogratias Mbiku katika Gazeti la Kiongozi toleo No. 06 la tarehe 09 – 15 Februari 2018 uk. 3 – 4. Kwa maelezo yake katika “Gumzo kuhusu Kanisa kumzika Kingunge” Monsinyori ameeleza wazi namna…
Ratiba ya Mazishi ya Mzee Kingunge Hii Hapa
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake. RATIBA ya mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru, iliyotolewa na familia yake jana inaonyesha atazikwa leo Jumatatu katika shughuli itakayoanza saa 9:30 hadi 11:30 katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar…
ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto…
Lowassa: Nitamkumbuka Mzee Kingunge kwa Moyo Wake
WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Ngoyai Loowassa ameeleza kusikitishwa kwake na kifo cha aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, aliyefariki dunia jana Ijumaa, Feb. 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini…
Mzee Kingunge Kuzikwa Jumatatu, Makaburi ya Kinondoni, Dar
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kamati ya maziko ya mwanasiasa huyo, Omary Kimbau amesema Kingunge atazikwa saa tisa alasiri. Hata hivyo, amesema leo Ijumaa…
Wasira Atoa Ya Moyoni Kifo cha Kingunge
Kada na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wa CCM Steven Wasira amesikitishwa na kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru kwani kama Taifa alikuwa ni mtu muhimu wakati wote kutokana ushiriki na mchango wake katika nchi, akiwa ndani CCM alikuwa Kiongozi na…