Tag: Kenya
Baraza la Biashara Kenya laeleza madhara ya ongezeko la kodi kwenye mafuta
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Kenya mwaka huu huenda ikapata athari mwaka 2018 kwa kiasi kikubwa kutokana na asilimia 16 ya kodi la ongezeko la thamani (VAT) kwenye mafuta, baraza la biashara la nchi hiyo limesema Ijumaa, wakitaja bei…
Kenya kuandaa riadha ya vijana wasiozidi miaka 20 mwaka 2020
Bodi ya shirikisho la riadha duniani , IAAF imeuchagua mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuwa mwenyeji wa mashindano ya riadha ya ulimwengu ya vijana wenye chini ya umri wa miaka 20 yatakayoandaliwa mwaka 2020. Uamuzi huo wa kuchagua mji huo…
Reli mpya ya SGR nchini Kenya iliofadhiliwa na China yasababisha hasara ya $100m
Mradi wa reli mpya ya kisasa nchini Kenya SGR umesababisha hasara ya $100m (£76m) katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa operesheni zake , kulingana na wizara ya uchukuzi nchini humo. Mradi huo uliofadhiliwa na serikali ya China ambao unaunganisha…
Kenya Yapiga Marufuku Kuwatembelea Watoto Shuleni
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeivunjilia mbali bodi ya usimamizi wa shule ya Moi Girls na kutangaza kwamba ni marufuku kuwatembelea watoto shuleni baada ya mapumziko ya katikati ya muhula kwa shule zote za upili za umma. Hii ni kufuatia…
Walioshtakiwa ulaji rushwa Kenya kukaa rumande wiki moja
Watuhumiwa 24 walioshtakiwa kuhusiana na kashfa ya ufujaji wa pesa katika Shirika la Vijana wa huduma kwa Taifa (NYS) watakaa rumande kwa wiki moja. Jaji ameamuru wazuiliwe hadi Jumatano wiki ijayo ambapo uamuzi wa kuachiliwa kwa dahamana utatolewa. Miongoni mwa…
Chombo cha Satelaiti kilichoundwa Kenya kitarushwa katika anga za juu leo kutoka Japan
Wanasayansi wa anga za juu kutoka Kenya waliokiunda chombo hicho tayari wako katika makao ya Uchunguzi wa Sayansi ya Anga za juu nchini Japan, (JAXA) ambapo chombo hicho kitarushwa kutoka huko. Nchini Kenya kwenyewe raia wataweza kufuatilia shughuli hiyo moja…