Tag: kassim majaliwa
WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha…
SERIKALI YATENGA 4.3bn/- KUJENGA VITUO VYA KUHIFADHI DAMU SALAMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 4.3 ili kujenga vituo vya kuhifadhi damu (satellite blood banks) kwenye mikoa 12. Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Manyara, Katavi, Rukwa, Ruvuma na Njombe. Mingine ni Tanga, Arusha, Pwani, Singida, Songwe,…
MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeni kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe. Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila…
UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi. “Hatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…
MAJALIWA : UKIKUTWA NA MWANAFUNZI KICHOCHOLONI TUTAKUKAMATA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa…